𝐌𝐖𝐀𝐌𝐁𝐀 @ClatousCC ni 𝐌𝐖𝐀𝐍𝐀𝐍𝐂𝐇𝐈🔰 Karibu sana Jangwani👊🏽
𝐍𝐘𝐈𝐄 𝐇𝐀𝐌𝐔𝐎𝐆𝐎𝐏𝐈?
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
Young Africans SC
19K posts
Official Twitter Page Of Young Africans Sports Club | Home Of Champions🏆
- Safari yetu ya mashindano ya Kimataifa imefikia tamati. Shukrani kwa Wachezaji wetu, Benchi la Ufundi, Viongozi, Wanachama na Mashabiki wetu wote kwa kuwa nasi kwenye kipindi chote cha mashindano haya. 𝐖𝐄 𝐖𝐈𝐋𝐋 𝐁𝐄 𝐁𝐀𝐂𝐊🔰 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
00:00- Wananchi, Afisa habari wetu @AliKamwe alipata changamoto dakika chache kabla ya mchezo wetu kuisha na kukimbizwa hospitali ya Aga Khan kupata matibabu. Hivi sasa anaendelea vizuri na yuko salama salmin. #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
- 𝐓𝐎𝐏 performance🙌🏽🔝 Jonas Mkude Comment fupi fupi kwa NunguNungu🔰💪🏽 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
- 𝐘𝐎𝐔𝐍𝐆 𝐀𝐅𝐑𝐈𝐂𝐀𝐍𝐒 𝐒𝐂 | 𝐇𝐎𝐌𝐄 𝐊𝐈𝐓 𝟐𝟎𝟐𝟒/𝟐𝟓 Bei RejaReja 45,000/= Wahi sasa Makao Makuu ya Klabu, Jangwani #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko


















