Samahani Nilizima tukiwa Hatua ya Makundi kama Makolo, nimezinduka naona @YoungAfricansSC tuko Robo Fainali na wakubwa wenzetu kina Mamelodi Nini kimetokea kwani?
Ali Kamwe
732 posts
@Media & Communication Manager of Yanga, Holds CAF Coaching License C
Dar es Salaam, Tanzania
Born April 5
Joined January 2020
- Itโs Football.. Hongera Mtani.
- Dickson Job .. Sina kikubwa cha kukupa lakini pokea Asante yangu. Unajua sana.
- AZIZ MARADONA KI.. KIBOKO YA MADOA SUGU
- Feisal Salum ni mchezaji halali wa Yanga na ana mkataba hadi kufikia Mei 30, 2024.
- Yanga tumeshavuka Levo za kusajili mchezaji na Kopo la Super Black Pembeni.. Huku ni vijana wa kazi tuโ๐ฐ
- Walituonyesha Fujo walizojifunza Tunisia.. Tukawaonyesha Boli Tuliyojifunza AVIC TOWN ๐
- Upande Morisson. Upande โฆโฆ..
- Golikipa Pekee anayecheza Ligi Kuu ya Tanzania aliyemaliza mechi za CAF hatua ya awali Msimu wa 2024/25 na CLEAN SHEET 4 .. @DjiguiOfficiel ๐๐ฝ Role Model wa Makipa wote Afrika!








