Replying to @Marakiunguni kweli asemayo bro @ItsFabbinho huyu ni brother angu. kitu ninachoweza kusema na kushauri ni kua hii dunia ina ni nzuri kwa kuishi ila pia ni dunia ni mbaya kwa matatizo. mungu alali,mungu hana likozo, na pia mungu hapokei ongo. tufanye yote ila tuongeze swala.
mungu wetu sote