user avatar
Zee la Vyeti (PhD)
@babalao__
๐—ญ๐—ฒ๐—ฒ ๐—•๐—ฎ๐—ฏ๐—ฎ๐—น๐—ฎ๐—ผ, ๐—ฃ๐—ต๐—— , Zebedayo โœชInfluencer โœช Content Creator โœช
Tanzania
Joined April 2020
Posts
  • Pinned
    user avatar
    JE UNAJUA KWA NINI HUFANIKIWI? Una mizigo mingi isiyo ya lazima wala faida ambayo umeibeba:- 1.Umejipa jukumu la kuwa "mpelelezi" wa maisha ya wengine na umesahau maisha yako. 2.Umebeba vinyongo na visasi moyoni vinavyokufanya uwafikirie waliokuumiza zaidi kuliko kufikiria
  • user avatar
    00:00
  • user avatar
    Twitter Rasmi Wame badili Uki Like Inatokea alama ya X jaribu hapa uone
  • user avatar
    Msemaji Bora Kwenye Timu za Mpira kwa Sasa ni Nani? Retweet kwa Manara Likes kwa Ahmed Ally.
  • user avatar
    Nani Zaidi? Retweets Kwa Mayele Likes Kwa Phiri
  • user avatar
    Kuna Watu Wamelala Habari Mandonga Kapigwa Wanaamka Habari Mandonga Kashinda ๐Ÿ˜ƒ.
  • user avatar
    Like โค๏ธ Elon kabadili gusa uone #WWDC23
  • user avatar
  • user avatar
    Sallam Sk kamaliza kila kitu.
  • user avatar
    Killi Paul Anakula Zake Maisha India Kisa TikTok tu.
  • user avatar
    Hapa wengi wanamjua tu Mwalimu J.K Nyerere. Huyo katikati ni nan?
  • user avatar
    Wachezaji wa Argentina mbona walikata nyavu na kuondoka nazo?
  • user avatar
    Mwamba huyu hapa. Huyu ndo alivunja mlango na kufanikisha kuokolewa watu 26. Amepewa milioni moja.
  • user avatar
    " Nabii hakubaliki nyumbani?" Kicheche bongo hata show hapati ila kakiwasha balaa Burundi