Ni selfie unapiga ama ni mtu unapea simu?
Kioko
222.6K posts
- baddies itabidi wameanza kuvuta supermatch
- "si uniangalilie hii number kama iko na profile picture" ๐ญ
- Kamandege wa angani Samaki wa majini Nami Mungu kanipa pa kukaa kando yako๐ถNimechoka kuvumilia, what's kamande!? ๐ค
- Uninstall that cracked Spotify be a man
- Kuna Dem nilienda kudinya akaniambia "unaskia aje ukinitoa panty haukununua "
- 2021 ulikua wazimu dia?Nothing more powerful than a mind that has decided it wants change
- Niliambia my boss akiamka ahakikishe ameskiza traffic jam ya thika road ndio asikue ananipigia kelele for nothing
- Unaeza zivaa tuone vile madem wetu watakaaNikiwauzia bikinis supu mnaweza buy ๐ฅบ
- Hii kulala imekua excess na itanimalizia mattress
- ๐๐Be proud of your second name unaitwa?
- Mnafanyanga Nini mkigo through hard times
- Sisi single and miserable tumelala usiku mzima at peace, hakuna kufikiria mtu mzima ako wapi









