🦁 @diamondplatnumz Anauliza Ni Kiasi Gani 💸 Ampatie Kipa Wa #YangaSc @djiguidiarraofficial Kama Zawadi Yake Kwake ?
✍: #TRIGGAH (@officialtriggah)
#AfricaIsWatching #WasafiDigital
WasafiTv
2,982 posts
Official Twitter Page for Wasafi TV Channel
| AZAM-411 | DSTV 296 | ZUKU-028 | STARTIMES-444 & 333 | COCONUT TV-20 | DodomaCable-113
Visit Our Website
Joined December 2017
- MUDA UMEFIKA WA SISI KUFUNGASHA VIRAGO NA KUONDOKA 🧳😔! Je, tunakwenda wapi 🤔??? #LeoTunaondoka #TunafungashaVirago
00:00 - #Jugni Music Video By @diljitdosanjh 🇮🇳 X SIMBA 🦁 @diamondplatnumz 🇹🇿 Hits 4 million Views On YouTube Within 14hrs Major Hit 💯
- Mapacha Walioungana Wenye Umri Wa Miaka 22 (Lupita Na Carmen) Waliozaliwa Mexico Na Kukulia Huko Connecticut Nchini Marekani Wameingia Kwenye Headlines Baada Ya Mmoja Kuweka Wazi kwamba Ana Boyfriend Cha Kushangaza Ni Kwamba Mapacha Hao Wana-Share Mfumo Wa Uzazi, ini Pamoja Na
- #BrandNew📺: SIMBA 🦁 @diamondplatnumz 🇹🇿 - Yatapita 🙌 Video Of The Year 🏆🍾🔥 Unaipa Asilimia Ngapi ? #AfricaIsWatching #WasafiDigital
00:00 - Star Wa Muziki Africa SIMBA 🦁 @diamondplatnumz Ame-Share Wimbo Wa @officialalikiba "Asali" Katika Insta-Story Yake Na Kuandika "Favorite" Yani Wimbo Wake Pendwa/ Anaoukubali "Favorite 🏆🤍" - Diamond Platnumz (Swipe) ✍:@officialtriggah #AfricaIsWatching #WasafiDigital
- Ni Collabo gani Kati ya hizi ambayo Kama ikifanyika basi itatikisa bara la Africa 😃 ? #HiiNiYetusote
- Video Nyingine Imesambaa Mitandaoni Ikimuonesha Mwanamke Kutoka Kenya "Pendo Stacy" Akidai Kuwa Aliwahi Kulala Na Msanii Kutoka Nigeria, Amesma Kwamba Ushahidi Ni Boxer "Nguo Ya Ndani Ya Msanii Huyo" Ambayo Amebaki Nayo Hadi Leo Hii. "Ina Rangi Ya Njano, Nyekundu Na Nyeusi".
- KOMASAVA (Comment Çava) OFFICIAL VIDEO OUT NOW 🌎 🔥 @diamondplatnumz 🦁 X @jasonderulo 🇺🇸 X @khalilharison 🇿🇦 X @chley_nkosi 🇿🇦 Link On @diamondplatnumz Bio !! JE, Unaipa Marks Ngapi ? 💯 #AfricaIsWatching #WasafiDigital
00:00 - #KomasavaRemix Video Tayari Imefikisha Views Milioni 2 Kwa Siku Moja













