Mtu anakuambia goodnight 8pm Alafu anakupigia 3a.m kukuambia umtafutie 20k ako police stationπ
Kushππ°πͺ
103.5K posts
media influencer | I.T tech | Cyber Security | web developer | Digital Marketer
Nairobi, Kenya
Joined June 2023
- Relationships nowadays are like Bread and Tea They breakfast π
- Unangoja aliyekudharau akusalimie kwa heshima alafu ananunua Audiππ
- Eye contact kidogo gikomba ushavalishwa nguo na ukapewa change
- Wanaume hadi kwa laini ya VCT mnaomba number ππ
- Huku ushago badala ya kuenda rooftop tunaenda mwisho ya shamba π
- Ukiwa na haraka lazima matatu isimame petrol station ππ
- Nilinunua chiwawa na HELB saa hii ni siku ya pili Mimi na chiwawa hatujakula π
- Kuna ule rafiki moja mmekopana hadi hamjui nani ako na deni ya mtu mwengine
- Huyu Dem yako tumemwambia akuje Garden City akabeba jembe π
- Relationships za university ni Hit and Run ndoo maana inaitwa 'Cum Pass'
- Unapatana na classmate wako mjengo anajificha na wewe unataka kumuuzia ujiπ
- Kila mtu akona love story moja ilimpiga tackle akaogopa mapenzi π
- Unaambia dem uko na Iphone 15 anakuambia umpee mojaπ

