Ukishaanza kukula maganda ya avocado there's no going back
Moti😇
32.5K posts
- Mnatoanga wapi wadem introverts? Huyu wangu amezurura kwanzia asubuhi
- Na sasa siku moja ukipata huyo mubabaz ni ex wa mamako?
- Kiherehere ya kupenda waschana hawana pesa nliachia wababa
- Nmetoa nguo wa kwanza akaniukiza kama ntaka kuoga 🥲
- Kumbe landlady ata hakuangi mchoyo vile nlikua nafikiria
- Leo nmepikiwa samosa ya omena na dem wangu... Enyewe kuinama ni kujitakia tu
- Calling her magma coz she's my lava >>>
- Dem Ana arc vizuri hadi anakukumbusha story ya Noah
- Unakula mumama hadi anasema "my daughter needs someone like you"
- Harusi yangu ndo mtu asirudie food, ukishachukua plate unanyolewa
- Kumbao nikiwa church inamaanisha nini?

