Biblia Kutoka 15:23
"Walipofika mahali palipoitwa Mara hawakupata kuyanywa yale maji ya Mara, kwa kuwa yalikuwa machungu; kwa ajili ya hayo jina lake likaitwa Mara". Good Morning watu wa Mkoa wa MARA
KUNA GHARAMA HAPA?
1. Inakugharimu kiasi gani kumsalimia mlinzi anaekufungulia geti ukiingia kazini?
2.Inakugharimu kiasi gani kumuomba mfanya usafi akuruhusu upite kuliko kukanyaga mahali alipodeki na hapajakauka bado?