Ikitokea ajali ya moto, ukaunguliwa na vitu vyako vyote in your room,,,
Na huna uwezo wa kufanya replacement ya vitu vyote within 1 day kwa pesa yako mwenyewe ...
But, dream yako ni kumiliki demu mkari
Siwezi subiri mpaka @prossoff na @ommyfitness wakuite kuwa wewe ni KONDOO
David Njau
5,248 posts
Great thinker || The hybrid boy || Game changer ||Trust in God|| Motivated by @davidgoggins
Dear me.. ✍️
I'll make you proud one day
#LIFE LOVE DEATH..
Dar es salaam
Joined September 2020
- Replying to @prossoff
- Kuna umri mwanamke akiufikisha, Ndipo anagundua Mwanaume ni Muhimu sana kwenye maisha yake hata kama Hana hela..👣 @chibelube ..✍️
- Replying to @TMnyama4_Wale tuliokuwa tukiwaona wasumbufu, wameacha kutujulia hali. Tuliokuwa tunadhani wanajipendekeza, wapo bize na maisha yao. Tuliowaona wajinga kila walipotusamehe, wamechagua watu wapya wa kuvumilia madhaifu yao. Never take love for granted. Hata hisia imara huisha, zikipuuzwa
- Dunia haina huruma kwa mwanaume asiye na kitu, umaskini kwa mwanaume ni mateso sana. Ukipata nafasi ya kumshika mkono mwanaume mwezako mshike,,👣 @McinikaWaLamar ✍️
- Replying to @McinikaWaLamarTrust me nmekaa na mama aggy hapa karbu tena kanipa na mkoba wake nimshikie😔😔😔aggy change plz🙌
- Kila naposoma content zako najiona bonge la genious aloo😂 Leo kijiweni watantambua
- Sijakutafuta kwa sababu nina vingi vya kuvitafuta kukuzidi Usiwe vita nyingine ninayopaswa kuishinda Kama unaamini katika mimi baki, au ondoka na usirudi tena kwenye maisha yangu... @ommyfitness ✍️ unaokoa sana misingi🙌
- Replying to @McinikaWaLamarSehem pekee iliyobaki ya kuchagulia mke nowadays ni Church we waache wajikute hawajui😂😂😂watajioa wenyewe

