Mungu nifanyie venye mamangu alikuambia kwa maombi
slim•♧™
49.9K posts
|| hakunaga rahisi stay busy ||
inatake time kubuild hii craft 👾||
- Mungu nibariki nisiwahi kosa pesa za kupea mtoto wangu akinicon
- Cousins wa nairobi wameamka bila makeup imebidiii tufanye introduction tena
- Unavuta bangi na coolkids wanapelekwa rehab wewe unaanza kutukimbiza kwa soko
- Babygirl ameona atamaliza ugali mbele yangu akaingia tiktok
- Huku ushago hawatambui introverts unagotewa na kila mtu mpaka wendazimu
- One minute your cup is empty the next minute haiyuko ata kwa meza ishaibiwa
- Zimeshika mpaka mkono ya kulia inacheka
- Unadhani dem n mrahisi kumbe wewe ndo mhandsome
- Wenye mlisema mtakuwa mnahelp the needy in your leisure time mnisaidie
- Unashindwa mbona unateseka hivyo kumbe ni zile grasshoppers ulikua unatoa miguu
- Dame mkikuyu unafaa kumtreat kama client ukimweka kwa roho ni wewe utaumia
- Hii weekend competition ni kali wababa mshahara iliingia na vijana wamepata helb
- Unakosa kutokea wanadhani uko focused kumbe ni kusota

