Simba Queens ni Mabingwa Cecafa 2022 π¦
We Are Unstoppable β
#nguvumoja
Simba Queens Tanzania
2,303 posts
Official Account for Simba Queens Tanzania
the women team of @simbasctanzania
Joined February 2021
- Tumetinga nusu fainali kibabe π¦ We are unstoppable πͺπ» #NguvuMoja
- 30' | Goooooooal Jentrix Shikangwa anatufungulia rasmi ukurasa wa magoli ποΈ Yanga Princess 0 - 1 Simba Queens #nguvumoja
- 79'| Goooooal Opa Clement anatupia kamba ya 2 #nguvumoja
- Mchezaji bora wa michuano ya Cecafa 2022 ni Aquino Corazone (@aquino_corazone_ ) Hongera Malkia π¦πΈ #NguvuMoja
- 66'| Goooooooal Opah Clement anatupia goli la 1 Simba Queens 1 - 0 Yanga Princess #nguvumoja
- Kila la kheri Opah Clement kwenye maisha mapya, Simba Sports Club tunaimani na uwezo wako utafanikiwa na kuendelea kuitangaza Tanzania na mpira wetu. Simba Queens ni nyumbani kwako β€ Asante Opah Clement π Taarifa kamili temebelea Simba App π± #nguvumoja
- 53'| Goooooal Opa Clement anatupia kamba ya 1 Determine Girls Fc 0 - 1 Simba Queens #nguvumoja
- Asanteni wote kwa kutufikisha hapa βπ¦ Twitter ππ₯ β Safari inaendelea. β #nguvumoja
















