user avatar
Salim Abdallah
@salim_tryagain
▪️Board Chairman - @simbasctanzania
Tanzania
Joined December 2021
Posts
  • user avatar
    Wa mwisho kufurahi, hufurahi zaidi. Mtafurahi kweli kweli.
  • user avatar
    Mwanasimba mpya, Ntibazonkiza.
  • user avatar
    Tunashusha mmoja baada ya mwingine.
  • user avatar
  • user avatar
    Usajili wenye lengo la kuongeza nguvu kwenye eneo letu la kiungo.
  • user avatar
  • user avatar
    Poleni Wanasimba wote. Tuna kazi ya kufanya mbele yetu.
  • user avatar
    Timu kubwa inacheza mechi na wakubwa wenzake.
  • user avatar
  • user avatar
  • user avatar
    Tumekamilisha usajili na Mohammed Mussa.
  • user avatar
  • user avatar
    Hongera sana Sakho. Historia ya soka duniani itakukumbuka kwa tuzo hii kubwa.
  • user avatar
    Wakati mzuri huleta matokeo mazuri. Msimu wetu huu.