Mkiambiwa kuna wanawake wenye nyota kali muwe mnaelewa๐๐ ona sasa issue ya kajala Dk 2 tu ashaanza kuvuma wakati na Poshyqeen alipooza๐๐
It's Ngugi
84K posts
- Kwa kweli nimevumilia nimeshindwa bora niseme tu๐๐, kiukweli huyu๐๐ mwamba nampenda bure kabisa, ako na hekima ya hali ya juu, two times nmemshuhudia akitumia hekima ya hali ya juu ku settle disputes. Big Up๐ช๐ชaki unatembea na moyo wangu๐๐ Mwenye macho haambiwi onaโโ
- Et jamani mie nimevunga nimeshindwa, hivi hawa ni ndugu? Mie waga naona wamefanana et au ndo sijui kwangalia๐ฅบ
- Replying to @Roma_MkatolikiAsikwambie mtu hii hali, mie nilifiwa na ndugu zangu wawili mikononi mwangu, moja pacha wangu, mwingine mdogo wangu na huyu ndo nilimuogesha na kumuandaa kwenda mochwari coz mama yangu alikuwa amepata stroke kipindi hiko na sisi tumezaliwa wadada watupu. Pachawangu sikuumia sana
- Ila huyu mwamba namkubali bure tu, mwenyewe ako na No. zake naomba tafadhali๐๐๐
- Hii couple mnaionaje wakuu๐๐ โโMie na madevo humu tu๐คฃ
- Mmekula au Bwana atafanya? ๐คฃ๐คฃ Me: Ugali + Nyama ya Simbilisi + majani ya maboga ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐๐๐ฅฒ๐ฅฒ SIMBILISI anaitwaje kwa kabila lenu๐๐
- Hivi huyu waga ni mwanaume au mwanamke? Sijawahi kumwelewa et๐ค๐ค๐ค
- Mtu wa kwanza kabisa kumpenda nlipoanza kutumia twitter ni Msomi Khani๐๐๐


















