URUSI NA MAREKANI KWENYE ULIMWENGU WA TAARIFA.
Uzi๐
#MadiniDotCom BAADHI tuliisikia na bado tunasikia
kwamba #URUSI ililalamikiwa KUINGILIA uchaguzi wa #Marekani na kumsaidia #Trump kushinda na kuwa rais 2017,lakini ni vigumu
kuelezea kirahisi,waliingilia vipi?,
๐