Subira ni ibada alinambia mamaangu.Matokea ndo nayaona sasa hivi .Leo na mimi natambulika kwa
Mh:Raisi John Pombe Magufuli.
๐ญ๐ญMwenyezi Mungu Asante Asante kwa Raisi mwenye upendo wa dhati na Mwenye kuthamini kila mtu.
FOR YOU GRAMMY CONSIDERATION
Kwa heshima kubwa msanii wenu nimependekezwa kuwania kwenye TUZO ZA GRAMMY kwenye kipengele cha THE BEST NEW ARTIST .
Hivyo basi kama wewe ni mmoja kati ya wanaoweza kupiga kura kama VOTING ACADEMY MEMBER basi nakuomba unipigie kura
Mwenyezi Mungunasema Alhamdulillah
Mbariki boss wangu na umuongeze kwa hiki kikubwa alichoniongezea kwenye maisha yangu.
Hakunaaa cha kukulipa My brother hakuna kwakweli Allah akupe umri wa uhai wenye mafanikio zaidi unatuokoa wengi sana @diamondplatnumz#MYHERO