Ministry of Finance Tanzania
3,412 posts
Official Page of the Ministry of Finance of Tanzania | Ukurasa Rasmi wa Wizara ya Fedha Tanzania.
- Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, limepitisha kwa kishindo makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali ya shilingi trilioni 56.49 kwa mwaka wa Fedha 2025/26, ambapo zaidi ya wabunge 373 sawa na Asilimia 98.7 walipitisha kwa kura ya ndiyo. Akizungumza wakati akifafanua
- Tunakopa na kuwekeza kwenye miradi ya kimkakati inayogusa Maendeleo ya wananchi kiuchumi na kijamii kama hii. Halafu kupitia fedha za watanzania kupitia Bajeti ya Serikali ya kila Mwaka, tunalipa madeni hayo kwa wakati kila yanapoiva. Tushirikiane kwa kulipa kodi kwa hiari na
00:00 - Daraja hili limejengwa kwa fedha zako. Lipa kodi kwa furaha kwa ajili ya maendeleo ya nchi yako Tanzania.
00:00 - Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba1 (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ukiongozwa na Gavana wa Benki hiyo, Bw. Emmanuel Tutuba, ambapo umeangazia mafanikio ya Benki hiyo katika kuendelea kuimarisha uchumi.
- Kamishna wa Idara ya Sera za Ununuzi wa Umma, Wizara ya Fedha, Dkt. Frederick Mwakibinga, akizungumza wakati wa Mafunzo kwa Wahariri Vyombo vya Habari kuhusu masuala ya usimamizi wa mnyororo wa ugavi katika sekta ya umma, yaliyoandaliwa na Wizara ya Fedha, katika ukumbi wa Nane
- Serikali kupitia Wizara ya Fedha, imefanya mafunzo kwa Wahariri wa Vyombo vya Habari kwa lengo la kuwajengea uelewa kuhusu masuala ya usimamizi wa mnyororo wa ugavi katika sekta ya umma. Akizungumza wakati akifungua rasmi mafunzo hayo, kwa niaba ya Katibu Mkuu Wizaravya Fedha,
- Afisa Mkuu wa Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Bw. Salim Kimaro, amewataka wakazi wa Dodoma na maeneo mengine nchini kufahamu gharama za mkopo na kuziafiki kabla ya kuchukua mkopo wowote. Bw. Kimaro aliyasema hayo wakati akitoa elimu ya fedha kwa watu waliotembelea Banda
- Kampuni ya Kimataifa inayojihusisha na kufanya tathmini ya nchi kukopesheka katika masoko ya mitaji ya kimataifa ya Fitch Ratings, imeithibitisha Tanzania (Long-Term Foreign-Currency Issuer Default Rating – IDR) kuwa katika daraja la ‘B+’ ikiwa na Mtazamo Thabiti (Stable
- Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba1 (Mb), anamewasilisha Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali, ambapo ameliomba Bunge ridhaa ya kukusanya na kutumia jumla ya shilingi trilioni 56.49 kwa Mwaka wa Fedha 2025/26. Dkt. Nchemba ameomba ridhaa hiyo bungeni jijini Dodoma, wakati
- Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba1 (Mb) alivyowasili katika viunga vya bunge kwa ajili ya kusoma Bajeti ya Serikali Mwaka 2025/26, jijini Dodoma.






























