Kitambo I used to think hao watu wa kuact set books were earning crazy chums until I heard some saying they were going home na a mere 500 bob,kwani hiyo 300 tulikua tunalipishwa ilikua ya nini basi
This guy alinighost back in campus (2022) amerudi kunitext ati aliomoka and that I should give him a chance anipeleke a proper date and even offered to come pick me up😂😂….tangu nijue mnakuanga mmetenga pesa za campaign such things no longer move me
Btw having a boyfriend mwenye akona gari na ajitolee kukujia kwenu na drop you off back home ama having a guy mwenye atajitolea kukujia stage na akurudisje stage prolly buying you some street foods on the way mkitembea tu polepole naonanga it’s lowkey a love language juu these