Pinned
MJ ™
37.4K posts
- Wakati utopwax wanatinga fainali ya kombe la shirikosho tajili namba 1 tanzania MO DEWJI aliwapongeza kupitia mitandao yake ya kijamii ila imekuwa tofauti kwao😀😀😀😀😀
- P. Diddy ni billionaire na ni genius mweusi mwenye akili sana. Mwamba hana mali yeyote inayomilikiwa kwa jina lake! All his assets ziko kwa jina la mama yake na mwanawe, Justin Combs. Yaani mwamba alijua tu kwamba uko mbeleni awa wazung watakuja kunifanyia umafia ngoja 👇👇😉
- Majira ya saa 1 jioni, katika anga la Arusha Vilionekana vidude hivi kwenye picha. Vinaelekea mashariki mwa Tanzania Nyie huko mmeviona????
















