diamond alipodaiwa child support ya hamisa pale mahakamani aliambiwa wanataka 5m monthly na nyumba.
Dai akasema 5m hana labda mahakama impe kazi😭🫠🫠
All in all msee anatuwakilisha vyema watu bahili
Nataka niwaambie kuna mwaka 😂nilitumia miaka 3 ku save million 6. Ni waambie tu ukiona mtu kanunua kitu cha zaidi ya 10m kwa pamoja na bado ana pumua mpe heshima yake😂😂