Limuru sahi ukioga unafanywa youth leader
Talisman🔫
224.8K posts
BOY AKO FLY🦅 ||STEPS ZANGU ZA KIGIANT🐾||CERTIFIED_ENGINEER🛠
Ata mimi sijui
Joined September 2022
- Kuna supermarket inaitwa Muhindi Mweusi, customers ndo husaidia cashiers ku operate computers
- Unaamka mapema kuchase the Bag unapata viatu zilinyeshewa kumamaye
- Kumbe huko Rooftop hamuendagi kuanika nguo. Frauds nyinyi
- Bare minimum boyfriend kama mimi nikishaa nunulia manzi yangu icepop ya ten, huwa najam mwezi mzima buana
- Demise ya mzae wangu imeniacha pabaya. I'm finished
- Baada ya dhiki ni shada, faraja ni wewe na morio hukudinya
- Ni risky sana kufungua hii app kama uko karibu na mzazi juu unaeza patana na cervix ya Alicia
- Siombi pesa, naomba retweet Kindly Retweet
- Pia huyo J Segera ako hii mrengo yetu nivile nyota yake inang'aa
- Talking stage nishai recommendia yengs series kama tatu hivi refu ndo akimaliza kuwatch apate nlishamove on
- Huku Egerton unifasiti ukipull up na zile tisho za Moschino unafanywa dean
- Tangu ninunue gas cylinder ya 50kg,hata maji ya kuflash choo nachemsha
- Kuita mschana wa wenyewe “my Angel” ni blasphemy btw



