user avatar
Moments with Mafole Baraka
@mafolebaraka
Remote work advocate, Whatsapp +255687360065
Remote
Joined May 2020
  • Pinned
    user avatar
    Hapa nilikuwa kijana mdogo sana lakini account yangu ilikuwa inatembeza 3M kwa mwezi. Ukiachana na udogo wa umri nilikuwa nimekonda sana pia so that time nilikuwa nikienda benki naenda na mtu ama nakuwa na kabegi fulani hivi halafu niko makini kinomaπŸ˜‚πŸ˜‚ Hapa ndo niliamuaga
  • user avatar
    Tatizo la watu ambao wako academically smart huwa wanafikiri Dunia inawadai excellence, kazi nzuri na maisha mazuri kwa kuwa better than the others. I had to get myself out of this mindset
  • user avatar
    Tufundishane hizi UTT jamani, nimeona mtu ana balance la Bilioni Moja πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
  • user avatar
    Nimefikisha miaka 24 bado mwaka mmoja muache kuniita dogo .Happy Birthday to me πŸ₯‚πŸ”₯ .My 1st birthday with Mustache πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
  • user avatar
    Vyuo vimekaribia kufunguliwa na vingine vimefunguliwa tayari. Incase assignment za Darasani huwa zinakupa stress, nina habari njema kwa ajili yako. Kuna tool inaitwa Humata, wewe kazi yako ni kuupload assignments zako zote kisha yenyewe inasolve kila kitu ndani ya dakika chache
  • user avatar
    Bodaboda ananiuliza kuhusu mjeda Tesha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
  • user avatar
    Dar has many beautiful women within their prime. The problem is that most of them are single. You try dating her for a weekend and you quickly learn why she is single and why she should continue being single.
  • user avatar
    Mabinti wanaosoma udaktari huwa ni wakatili sana kwenye masuala ya mahusiano .Moja ya Field siwezi shauri kijana mwenzangu atafute mpenzi ni kule .Wale wanawezana wenyewe kwa wenyewe . Ninaposema madaktari naunganisha na wale wa pharmacy ,nursing ,Environment science na Vet.
  • user avatar
    Kumbe Kipepe ni Lecture bhana πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… ,Leo kanisimamia pepa πŸ™Œ
  • user avatar
    Ukiwa unaapply kazi usiishie za bongo tu, pambania na za remote nje. 3M+ kwa mwezi ni kubwa sana bongo mchawi Lugha na uwe umefaulu vizuri chuoni kwako, mengine yanazungumzika.
  • user avatar
    Naona leo Elon kaamka na mimi πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
  • user avatar
    Bro, Sikumbuki mara ya mwisho nimeona ad ya TTCL. Flow yao ya kununua bundle ya hovyo, messaging yao haieleweki, app yao haifanyi kazi na huwezi tuma pesa kutoka TTCL kwenda mitandao mingine. Instead ya kutupeleka VETA, tupeni kazi tunusuru taasisi zenu.
  • user avatar
    Kitu nimejifunza huu mwaka , Ukiwa Broke avoid Relationship halafu Sikiliza Gospel kwa wingi .Itasave your Mental health pakubwa.
  • user avatar
    Graduate hata ufilisike vipi usiuze laptop utanishukuru baadae .