Niamke, nioge, nicharge equipment, nikalie gari using my own money, nikuje nisimame kwa jua 2hrs+ nikupige picha, nikalie gari nirudi mtaa, (na doh yangu) nikae chini niedit, niupload kwa cloud, nikutumie link, ati malipo ni "nitapost waone upate clients"?
Mnakuanga mentally ill