Single ninjas kama sio twitter na pes tungekufa na kunyonga ๐
DCI TUM ๐ฅ๐ฐ๐ช
43.5K posts
- Yaani dem anaoga vizuri, hadi ananyoa aende kupea dem mwingine mechi, wueh
- Kusoma uelewe will take you 2 hrs, kuandika mwaks ni 10 mins
- Unaomba dem mechi anakunyima alaf ukipewa na mamake anajam
- Watu hueka ngoma asubuhi wanakuanga sawa kweli ?
- Kama lazima simu yako ilale charging, kubali tu wewe ni maskini
- Unaenda kukatia dem unakumbuka ukona mia kwa mpesa inabidi unagive up
- Nairobi naambia shopkeeper "naomba mkate' ananiambia yake ni ya kuuza ๐ซด๐
- Nyinyi huwa mnasave drafts wapi, content zangu hupotea sana bana ๐ค
- Ocha mkikosa rooftop mnaendanga wapi? ๐
- Man city siku hizi wamekua kama man u, hawapost results ๐๐
- Nitaendelea kusmash hawa ugly bitches had nipate type yangu
- Mbogi ya bedsitter ukienda kwa choo lazima ueke ngoma kwa hoover for security purposes ๐๐
- Lakn kama woofer yako iko kwa floor kubali tu wewe ni maskini

