🤦Msiwai fanya blunder kupea mmasai mic siku ya mazishi, huyu alipewa akaanza, "Ero, musiba oyee; jenesa Safi? Amependesa hajapendesa? Mwenye wifu akufe kama hii mutu hapa kwenye jenesa. Kwanza kabisa napedlnda kushukiri hii marehemu sababu ina upendo, nafanya nakutana leo,...