Kalage perfumes njooni wakuu Leo yupo live sinza bamaga✅💯
julip juan alejandro🇲🇽
4,642 posts
Chelsea FC
Your typical dude
Joined March 2025
- Askari zangu. Help me wish my little princess a happy birthday 🎈🎂
- Nono pia kazaliwa siku ya leo. Happy birthday to you nono🙏🙏❤️
- Kusema ukweli. Mshahara wa 1m kwa mwezi ni mdogo sana that's the facts askari zangu😔💔💔
- Askari zangu. If you want to stay poor in your early twenties. Tumia hela yako kutatua changamoto za wanawake. Hutoamini wallahi🙌🏽🙌🏽💔
- Sema hio picha itakwamisha sana harakati zangu za kuzama dm amini hivo askari zangu 💔💔🤔
- 2015 politics zilikua za moto sana. Kila kampeni ilikua inamoto sana. I miss those days aisee 🙌🏽🙌🏽🔥🔥
- Askari zangu. Siku Jana kuzaliwa ya mrembo wangu haikuisha vibaya😊🙏🏽
- Askari zangu. Katika tweep anaeongoza kumiliki pisi Kali, mm nipo bwana. I am dating very beautiful women let no one deceive you 👍🏽😁










