wazazi washatupea baraka, Tuesday risasi zitakuwa zinatuona zinapiga corner
Big stepperš£
45.6K posts
Niko poa
Joined June 2022
- mwenye alipika mchele last time parliament aongeze chumvi kiasi this time
- umechill ukiwatch news na wazazi alafu unajiona kwa tv ukirudishia polisi teargas
- Design taxin imefura imebidi nipigie caretaker anifungulie gate yote ndio niingie
- ''Naona kuna wageni miongoni mwetu'' still one of the reasons I don't go chruch
- mwenye ameheartbreak neighbour yangu akuje msikize hizi bongo zenu pamoja
- Dhambi zinashangaa nilienda wapi kumbe nilimjua Mungu
- unashanga mbna dem ako ithaa yako ivo kumbe anaitwa wamaitha
- siku moja wewe na huyo rafiki yako mjinga mtakuja kupigwa ju ya kucheka watu ovyo ovyoš
- mama yako anajua wewe ndio ume aminiwa na sticki ya mwisho ya kiberiti time kuna upepo?šš
- shoe rack ni ya viatu za kuanzia 4k,hizo gwanda zako ziweke chini kitanda
- usiskize mtu ati ju ni mzee,pia wajinga huzeeka
- hauna manzi na haunanga kutu,tuambie siri bro
- kuna salamu ukinisalimia as a man siwezi salimika,wtf is ''sasa''

