Nataka kurudi Nairobi naambia shosho nitamuekea pesa kwa mpesa akakataa
fr@nc💫
3,724 posts
Assnalworld@001/laughs launched like missiles//comrade
Joined April 2023
- Nimewaona nyinyi madem wote wenye mmelike picha ya mzae wangu status
- Sai ukiniomba 50 umenitoa online mpaka madaraka day
- Kuna watu hawaezi survive scandal huku nje
- Mathe anashangaa mbona nimesimama for long kwa shamba kumbe Niko session naguzaguza hizo tweets
- Naskia rumours eti niliacha shule,,eei wanakijiji😂
- Na mjifunze kudance walai,, sifurahii venye huwa mnacheza offbeat tukienda sherehe
- Hapa shagz bila power bank hutoboi
- Am looking for 98 more men tuendee hio gorilla
- Mi nayo ukifikiria utanikula pesa sahau juu hata hio pesa yenyewe sina
- BBC na prime Mohamed Ali nani mnoma kwa kutoboa siri
- Nimekunywa glass mbili ya chang'aa kwa ofisi ya county commissioner nikidhani ni maji
- Ile joke ya "Kenya unazeeka kwanza ndo unarudi kijana" ni ukweli walae😂
- Village yetu ukipigiwa harambee wanasema wazazi wako wamebuy nayo mbolea

