βοβ👾
209.7K posts
- Mnavaa nguo moja kila siku kama Superheroes lmaooGoodmorning 😍
- Ukitoka Kinyozi najua Ulimuambia πBarber amenitoa solid 2 hadi 3.142 I nearly kissed him
- Nishawai kula chapo tatu kwa relative kuenda kuchomoa ya nne wakatoa hotpot kwa meza haha🥲
- Nikiwaambia Kuna peng aliwai nipea 8k on my birthday ,hiyo birthday sex ikaleta mimba tukatoa na 6k😭😭😭😭
- Mungu baba Tukitoka leo Turudi wote jioni salama .Amen! #EndAbductionsKE
- Kuna Uncle Yangu ashawai sahauliwa kwa Eulogy ya shosho yangu akalia shida siku ya matanga mpaka wakaongeza jina yake na biro haha😂
- Nimefikiwa bana convo Ni short answers tupu haha; Ok .Sawa Eeh Hapana Leo Kesho mangaiii
- "Tunakununulia pikipiki unalala ,Quincy Okoth?"Nafaa niendelee kuwatch Seal Team. They don't make such shows anymore.
- Not my 28yr old divorced brother telling my dad alete Matumbo ati anaskia Kula matumbo .N*gga You should be at your place🤦🏾♂️
- Siku nilienda na Sure condoms kwa dem anatumia Garnier products nilijichekelea kwanza
- Unaishikilia kama man of the match award ya Caicedo













