Pinned
DIVISION ONE
13.4K posts
CEO - NENGA TRONIX,DIGITAL PILOT, MAFIOSO INC,LFLG
Joined November 2010
- Jumapili Njemaβ¦ Kwenu Wapendwa Katika Bwana ππΏππΏππΏ
- Me and Shawn Golden Jacob Zilla!! Huyu ni Genius Mwengine kutoka Sala Sala... i swear... ni Mdogo lakini ana Madini Makubwa....!! Endelea Kupumzika kwa Amani King sema umetuachia Shujaa Mwengine Kabisa !!
- Nyie wahuni...jitahidi kuweka tweet ambazo naweza kusoma Mbele ya Mke wangu !! Si Mnajuwa sahivi Mm sio Muhuni mwenzenu πππ Mambo Ya Pisi Kali na Uweka Hazina Nakabidhisha Majukum soon π
- Jamani tuheshimiane Kidogo Ukishindwa Kuniita Bwana Harusi Mtarajiwa niite hata Shemeji π€ Hivi kweli Hamuogopi Mume wa Mtu Mtarajiwa unamuita Mpwa au Baharia πππ Eti Ooh ! mpwa unasaliti Chama hizi kauli za Kihuni Chama kwanza Ndo nini CUF au Chama Wa Simba ??? π
- Chilling With Young Humble and Genius βShawn Jacobβ Mtoto pekee wa our late brother King Godzilla !! Rest in peace peace Brother β€οΈ
- Topic gani ya Hesabu Ulipokutana nayo Ukasema Sasa...Shule Basi ama ukakata tamaa na Somo la Hesabu kabisa













