user avatar
Babbie Kabae aka SistaDread👊🏽
@babbiekabae
Radio presenter/TV Host| MC | PR executive| Philanthropist| Reggae sista....yurrr!!!
Tanzania
Joined April 2011
Posts
  • user avatar
    Kila Mwenye Mtihani, Allah amuondolee, Kila Mwenye Mazito Allah amfanyie wepesi na kila anae uumwa, Allah amponyeshe. Ameen. Juma’a Kareem.
  • user avatar
    Nimechoka, nimechoka Sana na hizi Taarifa za Mtoto wa kiume kulawitiwa! Ewe Baba, ewe Mama, ewe Kaka, ewe Dada, ewe Jirani, ewe Rafiki, ewe Serikali… Mlinde Mtoto wa Kiume!!!!
  • user avatar
    Obey Allah & Allah will Reward You. Juma’a Kareem 🙏🏾
  • user avatar
    Ramadhan Kareem.🙏🏾🙏🏾🙏🏾
  • user avatar
  • user avatar
    Hivi, Mbona Dini nyingi zina utofauti kwenye Dhana ya Mwenyezi Mungu, ila Shetani ni huyo huyo mmoja?
  • user avatar
    Asante kwa kutizama kipindi leo... #FridayBiryani Leo wapi wapwa?
  • user avatar
    Alhamdulillah...Mwenyezi Mungu ameniongezea Mwaka Mwingine, siku ya Leo. Nawashukuru wazazi wangu kwa kunileta Duniani na kunilea. #LionHeartDay👊🏽
  • user avatar
  • user avatar
    Kuwa na mtu anaelewa akili yako, fikra zako na hisia zako ni aina nyingine ya kileleni😉
  • user avatar
    Ulikuwa na umri gani ulipojua “Mask” kwa kiswahili inaitwa “Barokoa”?
  • user avatar
    Naomba niulize, Kwa nini Leseni ya udereva Ina expiry date? Ina maanisha ujuzi wako ina expire na tarehe? Why does it need an expiry date? Ninaelewa Kama umeongeza ujuzi wa udereva unaweza ku-renew license... but expiry? Sielewi
  • user avatar
    Sasa ngoja nikupe stori.Nilikuwa nimezoea kutongozwa kwa “Vingereza” miaka yote, Mara nilipopatana na kiswahili kutoka pwani, Msa na Zanzibar, MaashaAllah! Ikawa Kama Mashairi masikioni mwangu🥰kuna Namna Kiswahili kina amsha hisia ndio Maana “Nakupenda” ni bora kuliko “I love u”
  • user avatar
    Hivi ushawahi kumwambia mtu “Nakupenda” alafu hakujibu? Ukafanya je?