๐จ D O N E D E A L ๐จ
Tumefikia makubaliano na klabu ya Yanga ya kumnunua, mchezaji kiraka, Yannick Bangala na amesaini mkataba wa miaka miwili baada ya kufuzu vipimo vya afya.
Bangala karibu Mbagala! โช๏ธ๐ต๐ฆ
#weareazamfc #timuborabidhaabora
Azam FC
12.6K posts
โฝ The Official Account of Azam Football Club
๐ 2013-14 Tanzania Premier League Champions.
๐
Founded in July 23, 2004.
๐ฑ #AzamFC #TimuBoraBidhaaBora
- ๐จ D O N E D E A L ๐จ Tunayo furaha kuwataarifu kuwa tumeingia mkataba wa miaka mitatu na kiungo mshambuliaji, Abdul Sopu, akitokea Coastal Union. More to follows... #WeAreAzamFC #TimuBoraBidhaaBora
- ๐จ BREAKING NEWS ๐จ Tunayofuraha kuwataarifu kuwa tumefikia makubaliano na klabu ya @RCAofficiel, ya kumnunua kiungo wao mshambuliaji, Gibril Sillah. Nyota huyo wa Gambia, anatarajia kutua nchini muda wowote kuanzia sasa kumalizia taratibu za mwisho za usajili. ๐
- THANK YOU! ๐ Ahsante kwa mchango wako ndani ya klabu yetu ukiwa kama nahodha, kocha msaidizi. Daima utabakia kwenye historia ya klabu yetu! Tunakutakia kila la kheri kwenye maisha yako mapya ya ukocha. You're a true legend! Agrey Moris. ๐ #weareazamfc #timuborabidhaabora
- ๐จ K I ๐จ Big announcement! ๐ฃ Tukutane baadaye saa 12.00 jioni! โฐ #WeAreAzamFC #TimuBoraBidhaaBora

















