Media Zote Ziliogopa ILA....
Kwa Kilichofanywa Jana Na Huyu Mwamba Sina Cha Kumdai, Kuna Nguvu Ya Mungu Iko Ndani Yake, Unisamehe Bure Mkuu!๐๐โ๏ธ๐ซก
Trust Me Mpwa & Bookmark Hii๐คทโโ๏ธ
Kabla Ya Kikao Cha CCM Mwanetu Gwaji Boy Atakuwa Amevuliwa:
1. U-NEC
2. Uanachama Wa Mbogamboga
3. Ubunge
4. Then Atafungiwa Kanisa!๐๐๐
Humu X Kuna Ungese Sana, Unaweka Post Ya #NoReformsNoElection Kwa Uzalendo, Unajikuta Umelike na Kurepost Peke Yako!!๐๐๐
Anyway, Ngoja Tuone Na Hii Kama Mtaacha Kurepost!โ๏ธ๐