Investors waache kupea watoto FRR 90. Inamaliza hao vibaya sana
Andrew k Rotich
34.3K posts
The goal: making money, doing what I love, with people l enjoy,making an impact on the world and growing as a person
GOD ABOVE ALL
Mapunjan Nation ✊
Joined November 2022
- Maboys wangu wanadeportiwa kutoka auziii na yues Sad bana 😔
- Ukiambiwa story na wase walijaribu kuventure into dairy farming na wakaendea dairy cattles za 40 liters a day alafu zikifika mosoriot inatoa vikombe tatu unaeza isha 😆
- What every man wants. 79 series, large tracks of land, 80-66s,bibi madam,35 fresian cows ❤️ Good morning farmers 🐮 🚜 🌽
- Pale soy on kitale eldoret highway it's sad news!
- Hii mwaka ulichukua loan mahali to do farming you have a story to tell. Dairy farming is still the best agri-business one can venture in. Cabbage na mahindi imetupiga karakta ya kutosha
- Mambo ya kuorder vyapati online na kuna wamama wanaeza fanya hiyo shughuli haifurahisi hata kidogo 🤦
- Tafuteni marafiki from West pokot and thank me later.
- Replying to @Kamau266Sasa unataka kusema walijenga nyumba akiwa ndani
- Getting 9 bags ya 91kgs in two acres si mchezo 😂😭






















