Pinned
Lakini watu wa UDA wasitupake mafuta kwenye mgongo wa chupa eti kwamba time ya Uhuru life ilikuwa harder than now. Eti life today is hard because of Uhuru's illegal borrowing.
Illegal borrowing started in 2014 when Ruto was deep at the centre of the then government.


