user avatar
Upendo Peneza
@UpendoPeneza
Member of Parliament 2015-2020.
Tanzania
Born June 26
Joined May 2012
  • user avatar
    Nimeuona mkono wa Mungu ktk utumishi wangu bungeni.Hakika changamoto nyingi nimezishinda kwa maombi.Shukrani kwa CHADEMA,wanaGeita na watanzania wote.Hata sasa Bwana atatupigania na tutashinda,Hivyo basi naomba kuwajulisha kuwa nimeweka nia ya kugombea ubunge jimbo la Geita mjini
  • user avatar
    Mungu ni mwema. Leo nimezindua kampeni zangu za ubunge Geita Mjini.
  • user avatar
    Mungu wetu ni mwema. Nimeteuliwa kugombea ubunge Geita mjini. #SasaBasi
  • user avatar
    Tunaanza na Mungu na tutamaliza na Mungu. 💪🏽
  • user avatar
    Furahini katika Bwana na tena furahini❤️
  • user avatar
    Nimemwekea pingamizi mgombea Ubunge jimbo la Geita Mjini kupitia CCM kwa Msimamizi wa Uchaguzi leo saa 9:45 alasiri. Mungu mwema hadi natoka ofisi ya M/Uchaguzi saa 12 jioni baada ya kupokea wito, sina pingamizi lolote dhidi yangu
  • user avatar
  • user avatar
    Mungu atujalie roho ya ujasiri kuzidi hii ⁦@TunduALissu
    00:00
  • user avatar
  • user avatar
    Eyyyy... kanipa rahaaaa. Mtaa wa Bulela ndani ya kata ya Bulela.
  • user avatar
    00:00
  • user avatar
    At the Airport.Nimetoka safari nje ya nchi,nikamuona mzee wetu ⁦⁦⁦@jmkikwete⁩ .Alituanzishia mchakato wa katiba mpya...hatukumaliza,Sasa tunahitaji Tume Huru ya Uchaguzi kuelekea Uchaguzi Mkuu na baadae kumalizia mchakato wa Katiba mpya kwa manufaa ya watanzania wote.
  • user avatar
    Lala salama baba. Tulikupenda sana ktk kamati yetu ya Bunge ya Katiba na Sheria. Kiongozi mwema, mnyenyekevu na aliyepokea vyema kukosolewa. Tulifanya kazi na kutaniana pamoja. MUNGU wetu akawe mfariji mkuu kwa familia. RIP Balozi Mahiga.
  • user avatar
    Tunaendelea na kampeni zetu. Mtaa kwa mtaa, hii ni Mpomvu, Kata ya Mtakuja