Jaman natamani mwaka huu kuolewa ila sioni mwanaume naemtaka. Awe maskini wa kipato cha chini na mpambanaji tu. Imeisha iyo mengine tutajuana kifamilia 😘🤟
Leo ni trh 17/3 ambayo kiongozi wetu Hayati JPM aliaga dunia. Ni siku ya kumbukizi yake kwa mambo mengi aliyoyatenda kiongozi wetu shujaa. 𝐉𝐞 𝐮𝐧𝐚𝐤𝐮𝐦𝐛𝐮𝐤𝐚 𝐧𝐢𝐧𝐢 𝐤𝐮𝐭𝐨𝐤𝐚 𝐤𝐰𝐚𝐤𝐞?