Leo nimetimiza miaka 26
Binafsi ninayo furaha kubwa sana kwa miaka hii najikabizi hiki kibanda changu,
Mungu awabariki pia ninyi nyoote mkapate mahitaji ya mioyo yenu ๐คฒ๐
Asubuhi nilimpigia sm mama nikamwambia nina kama elfu 40 hivi nataka nimtumie wale pasaka,
Akasema kwenye hiyo elfu 40 niongeze elfu 50 jumanne ijayo wakaninunulie mbuzi wawili wa kuzaa, nikasema kweli baba alipata mke โค๏ธ๐