Msichana sura mbaya ananunua face towel badala tu atumie duster
Samila
9,436 posts
- Ule bois wa Strathmore alikua wapii tukifunza lessons za usiwahi jaribu kudinya msichana akiwa drunk,anyways atalearn either way
- Niliona serikali inasema vile comrades wanavuta bangi ,wanadhani tutawacha
- Unasema vile bangi ni mbaya na wenye wanavuta ndio wanakuonesha exams
- Aliye juu achana na yeye ako sawa,labda umuulize alifika aje huko juu
- Mnajua watu wa Bungoma watapea Didmus kura ya gavana 2027? Now you know
- Kujilea si rahisi heri nyinyi mnajiuza
- Hapa Kenya ukijuana na watu wawili watatu kwa gava hata pesa ya wazee utakula ukiwa 21 years
- Mbona uchomwe na jua na pedi anaweza fanya hiyo kazi
- Yaani January iko na mvua... enyewe climate change ni real
- Ebu mconfirm hiyo chai ya mtoi wa Oscar Sudi tuanze Sherehe sai sai
- Watu wa village wanashangaa naona Subaru natoka mbio ,hawawezi elewa
- Kairo alikua anapea vijana pressure mpaka tunaona ni kama hatuweki bidii kumbe jamaa ni kahalifu
- Sai simps wanakula ugali na kahawa ndio wasikose pesa za valentine

