Nakumbuka siku moja baba aliondoka nyumbani na rafiki ake kwenda kutembea lakini hakurudi nyumbani,mama na viongozi wa serikali walihangaika kumtafuta mtaa mzima hawakumpata.
Basi nililia sana nikiamini baba kauliwa,kwani kipindi hicho hapo mtaani watu walikuwa wanauliwa sana👇