As we continue moving towards our strategic direction, today in Oman, Tanzania’s Minister of Energy Hon. January Makamba met with Oman’s Minister for Foreign Affairs to discuss and explore areas for partnership in Oil and Gas sector.
Nishati
4,935 posts
Official Page-Ministry of Energy in Tanzania.This page will be useful in providing correct and latest information on Energy Sector.
Visit http://www.nishati.go
- Leo tarehe 19/2/2019, takribani Vijiji 61 vinawashiwa umeme nchi nzima. Hizi ni juhudi za Serikali katika kusambaza umeme vijijini. Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani, Geita.
- SERIKALI YAONDOA TOZO YA SHILINGI 100 KWA LITA YA DIZELI, PETROLI NA MAFUTA YA TAA
- Nguzo za umeme zilizobeba nyaya ambazo zimesimikwa chini ya ziwa Victoria ili kupeleka umeme wa kiasi cha megawati 10 kwenye kisiwa cha Ukerewe kutokea Bunda –Mara.
- "Bei ya kuunganisha umeme vijijini ni shilingi 27,000 tu,, iwe ni mradi wa REA, TANESCO au Mzalishaji Binafsi". Dkt Medard Kalemani, Waziri wa Nishati. Serengeti, Mara.
- Akiwa wilayani Sengerema, Waziri wa Nishati aligawa mitungi ya gesi takriban 80 ili kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia ambapo alifafanua kuwa, hiyo ni programu maalumu ya majaribio ambayo itawezesha upatikanaji wa taarifa zitakazozewesha kutengeneza mpango mkubwa
- Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo tarehe 1 Aprili, 2024 ametembelea Kituo cha kuzalisha umeme cha Kidatu, wilayani Kilombero mkoani Morogoro kukagua matengenezo ya Mitambo ya umeme.
- Waziri wa Nishati,January Makamba, pamoja na Balozi wa Tanzania kwenye nchi za Nordic, Grace Olotu na Balozi wa Norway nchini Tanzania, Elisabeth Jacobsen wameshiriki katika warsha ya viongozi iliyofanyika kwenye mradi wa kuchakata na kusindika gesi asilia wa Equinor, Norway.
- Serikali imepanga kupeleka umeme katika migodi 336 nchini kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa gharama ya takriban shilingi Bilioni Sita ili kazi za uchimbaji wa madini nchini zifanyike kwa tija na hivyo kukuza uchumi wa nchi
- *DKT. BITEKO AWASILI KILIMANJARO KWA ZIARA YA KIKAZI* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, leo amewasili mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya ziara ya kikazi.





















