Mimi ni Mwanachama wa Yanga na siyo Msanii wa Matamasha ya Yanga.
Maalim Nash
4,184 posts
Maalim Nash.
Hip Hop Emcee Representing πΉπΏ.
Home of Swahili.
Joined August 2012
- Alhamdulillah nilifika London Jana na nipo hapa kwa mualiko kutoka Chuo kikuu cha Soas,Idara ya Masomo ya kiafrika. Nitawasilisha mada kuhusu "MCHANGO WA FASIHI KATIKA HIP HOP" kwenye Kongamano la Baraza la Kiswahili kesho In Shaa Allah. Taarifa zaidi zitawajia.
- Rasmi nimefika katika Hijja ya Hip Hop jijini New York mitaa ya Bronx. Taarifa zaidi zitafuata.
- Sikilizeni ndugu zangu,Kuvaa Tai au Skafu yenye Rangi ya Bendera yetu siyo kipimo cha uzalendo,tuelewane hapo.
- Ijumaa yenye Baraka sana kukutana na Professor Assad katika sala ya Jumaa pale Masjid Imam Jabir Bin Zaid , alikuwa anamaliza kusali sunnah nikamsubiri nikajitambulisha akauliza, unapiga Hip Hop ya ipi? Yenye Ujumbe mwingi au ya siku hizi? nikamwambia Napiga Yenye Ujumbe mwingi
- Taifa Stars bila hamasa Taifa Stars isiyo ya Wachambuzi Taifa Stars iliyotelekezwa Taifa Stars ya Hip Hop Taifa Stars isiyoenda na Vikosi vya Wajuaji Taifa Stars isiyo haidiwa hela Taifa Stars iliyopangwa na kuchaguliwa na kocha. Huwa inaenda vizuri kabisa.
- Othman Mutalemwa Mushumbusi. Mhaya namba 5 ameongeza namba ya watoto wangu. Alhamdulilah
- TAARIFA. Jana katika Darasa la Hip Hop na Diplomasia katika Chuo Kikuu cha North Carolina U.S.A chini Professor Mark Katz, ambaye ni mkuu wa Idara ya Muziki chuoni hapo,walitumia wimbo Wangu wa "NIANZIE WAPI" Kujifunza na kuibua mjadala juu ya Siasa na Jamii.
00:00













