Mickey
122.9K posts
itโs never too late to be happy; and its upto you and no one else๐ฏ๐ฆ. FEAR OF GOD ๐๐พ๐.
Nairobi Kenya
Joined October 2016
- Once had a Maasai boyfriend. Jamaa alimaliza shule pale JKUAT na kurudi kwao Narok. Kwenda huko tukapoteleana . Kuchunguza kumbe alitafutiwa bibi na wazazi wake na kutulia Narok na akanisahau๐ซ๐ซ.
- Onyesha Sakaja mahali ulinunua hizo bins.3rd garbage skip loader is on the way. Making Muranga environment clean.
- Never have I ever celebrated Valentine's day in my 30 years of existence.Never Have I Ever celebrated Valentine's Day in my 24 years of existence :)
- Nauliza initoke. Rigathi Gachagua bado angekuwa DP angetuambia hizo vitu zote ama angekuwa amenyamaza the same way alikuwa amenyamaza?
- This Luo man was hitting on me and he had this beautiful lady as his WhatsApp profile picture. Upon enquiring about her , he boldly tells me " wachana na mwenye Yuko kwa picha. Ni Mimi nakutaka, sio yeye anakutaka "
- Kangundo ladies are Kamba version of Murima babes.
- But we all can agree that Maasaiโs got beautiful names.
- Kuuza kidney sio issue, issue ni, mbona wauze bei ya chini hivyo? That organ shouldn't be less than 1m.
- So apart from Netflix, where else do yall watch movies from?












