user avatar
Korvo
@Mbuucu
Joined March 2013
Posts
  • user avatar
    Watu walianguka kcse wote hufikiria they're street smart
  • user avatar
    Ukifika mid 20's huwa unaanza kuelewa mbona watu huget into drugs na wengine kuji ice
  • user avatar
    Watu wa reggae husema positive vibes only alafu wanaibiana simu
  • user avatar
    Form 3 mans aliwahi iva before lesson alafu akaambiwa asome paragraph akasema Doctor Congo badala ya DR Congo.
  • user avatar
    Ukispend usiku kwa in laws unafaa kuwaambia wafungie mbwa utalala nje uki guard boma
  • user avatar
    Ni nini ushawahi pata kwa nyumba ya msee ukashangaa venye aliipata? For me ni trolley ya supermarket.
  • user avatar
    Bei ya office space ikishuka kuliko ya residential tunahamia sixth floor kuishi katikati ya law na audit firms.
  • user avatar
    Labda siku ya games
    380+ inaeza ingia Kenya high wakubwa?
  • user avatar
    Young couples sahii wanesimama stage matatu zinawapita tu sababu wanangoja yenye iko na space ya watu wawili pamoja hawataki kuketi separately.
  • user avatar
    Bachelors huwa tunapigilia duvet kwa sides za kitanda na misumari. Ukiamka unatoka kama document kwa bahasha.
  • user avatar
    Mamako akisema bibi abebewe kwa side mirror kama samaki you do it very fast.
  • user avatar
    Last born akitumwa mkate na kiberiti:
  • user avatar
    Ukirudi kwa nyumba unafaa ku whistle ukiwa kwa gate alafu bibi, watoto, pets na pot plants wanapanga two parallel lines kukupea guard of honor kama team imeshinda premier league.
  • user avatar
    Unalipa 300K kujoin army alafu unaenda kupepetwa na mjamaa amevaa sandak na arafat