PinnedMyunani@MaxTz255_May 3Hamna Mtandao Hamna Issue ni Utaratibu Unatofautiana Kwa Kila Mtandao Kwenye comment nimekuwekea Link yenye maelezo ya Moja kwa moja kwa Kila Mtandao utakaohitaji wewe 👇2211546546
Myunani@MaxTz255_Jan 25, 2025Sio kwa Ubaya Lakini Gozbert Gari aliyopewa Ilikuwa Mercedes Ya Rangi Ya silver leo aliyochoma Ni Nyeusi, Haoni kama Anasahau kuogopa Teknolojia?28228290902.3K2.3K286K286K
Myunani@MaxTz255_Mar 29, 2025Changamoto Gani Ni Common kwenye Hii Biashara?1421421451452.3K2.3K241K241K
Myunani@MaxTz255_Jan 23, 2025Hii Next Year nampeleka Dogo 🙌 Ada yake naskia ni 1.8M Ipo iringa ✊1711711111112.2K2.2K210K210K
Myunani@MaxTz255_Jan 22, 2025Unadhani Mhe Gody anaenda Kupewa Cheo Gani Hapo Ndani?16616682822K2K65K65K
Myunani@MaxTz255_Jun 26, 2025Kuna Jamaa anapiga Mishe za Uvuvi anasema Uzio tu umegharimu 33M,Sijauliza tena Gharama ya Mjengo Nime bluetick qmmk 🤣10210277771.9K1.9K144K144K
Myunani@MaxTz255_Jun 5, 2025Imeshindikana nini kwenda Kulifanyia Assembling Mwanza Wanangu Hili Dude Au Watu wanapenda Umaarufu?14114177771.8K1.8K147K147K
Myunani@MaxTz255_Feb 7, 2025Mtu aliyesoma HKL Hata Mbao Za Kupaua Huu Mjengo Hawezi Kununua .14614670701.8K1.8K183K183K
Myunani@MaxTz255_Sep 10, 2024Yani Effect of Maji Maji War Umiliki Hili Dude? Mkuu unaota ? 😂727279791.7K1.7K99K99K
Myunani@MaxTz255_Jan 14, 2025Hivi haiwezekani Kuweka Engine Ya IST kwenye Brevis? Mara ya Tatu Hii naenda Sheli toka Jpili 🙌20020041411.6K1.6K175K175K
Myunani@MaxTz255_Feb 4, 2025Yani kujua Kitenzi na Song Of Lawino and Ocol uje Umiliki hii Zero Kilometer labda uuze Hicho kichwa 😆515178781.6K1.6K82K82K
Myunani@MaxTz255_Mar 16, 2025Huyu mwamba kamwaga Madini Humu ndani amna angemfikia 😆00:001271272602601.6K1.6K107K107K