First date kama hatukuli kichwa ya mbuzi na supu haiwezi.
Quack Doctor, QD.
92.1K posts
RN+ /Reggae and Ngogoyo/Research/
Farmer.
Joined May 2021
- Unaongeza mchele.Mchele ikiiva lakini maji haijaisha uwa msee anafanya?
- Pesa ikiisha Watakuwa masavaraSauti Sol wanawachana waanze kazi ya Air Bien B
- Kuandika "idk" na "cus" ukiwa Busia is peak upuzi Wephukulu.Idk if it's me alone or cus I really love this type of weather
- Ya ng'ombe we care but ya punda we donkeya.So mta atajuaje gani ndio nyama ya punda na gani ndio nyama ya ngombe?
- Thanks for the clarity, I thought kesho itakuwa maembe.Kesho ni siku pia mooties.
- Wewe huwa unawatch Arsenal kila season na unajua kikombe hambebi.Wasee wenye hurudia series, akili hukuwa sawa kweli? Utaanzaje kuona kitu umeona tena na unajua vile tu kutaenda
- "Nibuy yoghurt na skuma kama last time?"😂
- Mudavadi amebaki juu ni Musalia.
- Niko Nyeri, kindly stop spreading false information.Hio stadi ya Galatasaray kuna hadi Simba inaguruma buana, such an incredible atmosphere
- Rich men tena hamtutaki.Msisahau kudate generous men🤭(note: sijasema rich)
- Ni wapi hiyo Nairobi yenu mtu anaweza peleka mdemu out na a maximum budget of Ksh Two Thousand only?













