Pinned
Maandalizi Dhidi ya Ebola Nchini
-------------
Ndugu Wakenya,
Afya, usalama, na ustawi wetu ndio ajenda yetu kuu na ya kwanza katika Serikali yetu.
Kutokana na tishio la sasa la mkurupuko wa maradhi ya Ebola duniani, Serikali inalichukulia suala hili kama dharura ya kimatibabu


















