Pinned
Habari mimi Jeba, nikiwa na akili zangu timamu leo nasema haya:
Bruno Fernandes ndio attacking midfielder bora duniani kuwahi kutokea tangu mchezo wa mpira kuanzishwa. In terms of creativity hakuna mido hata mmoja alie hai ama ameondoka ambaye ana gusa pande hizi.
Magnifico 💫













