PinnedHüñtêr KĒ@Hunter_KE24Jun 10Yaani Over 1 million Churches Fighting with One Satan...She Must be a very Strong Woman131340407171877877
Hüñtêr KĒ@Hunter_KE24Oct 4, 2025SEEN : nahitaji watu watatu hawajalipa rent tukuwe wanne2210102727379379
Hüñtêr KĒ@Hunter_KE24Oct 10, 2025Kule Eastleigh unapatanga your dream phone ndio simu ya Mpesa1116163030436436
Hüñtêr KĒ@Hunter_KE24Oct 13, 2025Simps ndio wamefanya madem hawana heshima kabisa huku nje14142929301301
Hüñtêr KĒ@Hunter_KE24Oct 10, 2025Nairobi utapata mtu anauza tropical pekee pale archives lakini anaishi 2 bedroom Westlands4410102222380380
Hüñtêr KĒ@Hunter_KE24Oct 9, 2025Huyu tuko talking stage na yeye na naona ameweka status ya "Birthday loading" anyway it was nice knowing her😂7714142323437437
Hüñtêr KĒ@Hunter_KE24Oct 22, 2025Kamummie ulisema Kila weekend utakuwa unaamkia nyumba mpya kama panya11662222291291
Hüñtêr KĒ@Hunter_KE24Oct 9, 2025Wife material ni ule Kila mtu anakuuliza "Huyu ulimpendea nini"1114142222246246
Hüñtêr KĒ@Hunter_KE24Oct 4, 2025Msichana akianza kukataa kukukiss jua hiyo relationship yenu Iko ICU 🥺1110102020293293