Rais Mstaafu Dr. Jakaya Kikwete amewasili jijini Tanga nyumbani kwa Bondia wa Kimataifa Hassan Mwakinyo kutoa mkono wa pole kwa familia kufwatia Bondia Mwakinyo kufiwa na Mama yake Mzazi Bi Fatuma Hassan Siri.
Haki Ngowi
192.4K posts
๐ Official X(Twitter) Page Of Haki Ngowi ยฎ ๐ป๐ฑ Post(Tweets) From Haki Ngowi are signed hn+
Tanzania
Joined June 2009
- ๐น๐ฟ-1 Naomba Retweet ๐ na Like โค๏ธ za Kutosha Mpaka Ujumbe umfikie Mchoraji huyu Mahiri wa Taswira ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan
- ๐น๐ฟโฅ๏ธ๐๐ฟ โญโญโญโญ(4 -Star General) Asante Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi-CDF Mstaafu Jenerali Venance Mabeyo Kwa Utumishi Wako Uliyotukuka Kwa Taifa Lako . Retweet ๐ โฅ๏ธ Like Share โคด๏ธ
- ๐ตUTEUZI Rais Samia Suluhu Hassan amemtea Kuruthum Amour Sadik kuwa Mkurugenzi Mtendaji Mteule Wilaya ya Chalinze Mkoani Pwani
- ๐ดTANZIA ๐:Ratiba ya Kuaga na Mazishi ya Marehemu Vivian Mbowe
- ๐Dodoma โช๏ธSoma majina ya waliyoteuliwa kugombea nafasi ya mwenyekiti wa Chipukizi CCM-Taifa โช๏ธYupo Mtoto wa Msanii Shetta ,Ndg . Qailah Nurdin Bilal
- ๐จ NEWS ALERT โผ๏ธ Pakua Mkeka wa Nauli na Ratiba za Treni Mpya ya Kisasa (SGR) Dar es Salaam -Dodoma
- ๐ฉ๐ฟโ๐Mjue Binti Msomi Mtanzania Neema Mduma,PHD ๐ฉ๐ฟโ๐:Neema Mduma is a computer science professional working as a lecturer in the school of Computational and Communication Sciences and Engineering (CoCSE) at the Nelson Mandela African Institution of Science and Technology (NM-AIST).
- ๐Songea โช๏ธAliyekuwa Mpambe -ADC wa Rais Jakaya Kikwete na Rais John Magufulu Meja Jenerali Mkeremi ala Nondozzz Meja Jenerali Mbaraka Naziad Mkeremy leo hii tarehe 14 Disemba 2023 ametunikiwa Shahada ya Uzamivu ya Udaktari wa Falsafa (Doctor of Philosophy-PhD) kutoka Chuo
- ๐ดUTENGUZI Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Bi Jane Nyamsenda ambaye Uteuzi wake umetenguliwa Jana na Rais Samia Suluhu Hassan
- ๐ธ:Picha ya Wiki โฆUnamjua Nani Hapo? ๐ฉ:Comment Ziwe Fupifupiiiโฆ.. ๐ธ:Issa Michuzi
- ๐ดTANZIA: Mjukuu wa Baba wa Taifa Mwalimu Juliue Kambarage Nyerere,Dada Sophia Nyerere, amefariki Leo Jijini Dar es Salaam ... Habari zaidi zitawajia Punde
















